Kusoma Kingereza
Kusoma Kingereza ni muhimu kwaku fahulu ku rekebisha maisha kwa watu wazima na watoto. Kusoma Kingereza itakusaidia kujibu kwa mahitaji yako, kupata kazi, kufaulu katika kazi, kuwasiliana na Waamerica wengine na rekebisha maisha yako mapya Marekani. Jifunze zaidi kuhusu Kujifunza Kiingereza nchini Marekani hapa chini.
Chagua muundo wa jinsi ambavyo ungependa kupata kwenye ukurasa huu. Unaweza kutazama video, kupakua hati ya maelezo au kusikiliza podikasti. Kila chaguo linatoa maelezo sawa.
Kusoma Kingereza
Waamerika wana amini kuwa mtu hawezi kuwa mzee sana au kijana sana ili asiji funze mambo mapya. Kusoma lugha nyipya unachukua muda, na kila mtu anasoma kwa muda wake ambao ni tofauti na wa mwengine. Kusoma Kingereza katika darasa na mwalimu mwenye ujuzi ni njia nzuri ya kusoma Kingereza, lakini kuna njia nyingi zingine ambazo zina weza ku saidiya kusoma Kingereza.
Haya ni mambo ambayo unaweza fanya kwaku kusaidia kujifunza lugha mpya:
- Jizoeleshe kuongea Kingereza na Wasemi wengine wa lugha ya Kiingereza.
- Tazama televisheni au usikize redio kwa lugha ya kingereza.
- Tumia mtandao kutafuta mambo yakuku funza Kingereza.
- Huzuria kwenye darasa za Kingereza.
- Jitiliye lengo halisi kila wiki.
- Tiya oroza ya maneno mapya unayoyasoma.
- Jaribu kusoma kingereza uanyo ona kwa alama za mitaa, mabasi, na madirisha ya maduka.
Ni muhimu kuendelea kutafuta kazi na kushiriki katika maisha ya shirika unapoendelea kusoma Kingereza. Kazi za utafsiri zinapatikana mahali kama kwenye hospito na kwenye mahakama.
Agence ya Réinstallation litasaidia mkimbizi kijiandikisha katika darasa za Kingereza. Watu kutoka nchi zote duniani wanasoma Kingereza pamoja Marekani. Ijapokuwa wanafunzi wanaweza kuwa na asili tofauti, wote wanataka kitu kimoja: kusoma Kingereza.
Ready to test your knowledge?
Download the Settle In App
Get unlimited access to hundreds of lessons designed for all learners
Test your Knowledge
With short videos and interactive lessons, you can learn about a wide range of pre- and post-arrival resettlement topics like traveling to the U.S., housing, and looking for a job.