Nafasi ya Usalama

USRAP ina tumika katika mazingira kubwa na kamili. Wafanya kazi wote wako hapa kwakuku saidiya ku amini kwa haki sawa kwa wote. Ikiwa una teswa kwajili ya imani yako, dini yako, jinsiya yako na muelekeyo waki ngono, una weza kuijulisha kwa wafanya kazi wa USRAP. Jifunze Zaidi hapo chini
Chagua muundo wa jinsi ambavyo ungependa kupata kwenye ukurasa huu. Unaweza kutazama video, kupakua hati ya maelezo au kusikiliza podikasti. Kila chaguo linatoa maelezo sawa.  
USRAP ina tumika naku linda kutoku fatana na inchi ya yake asili, rangi yake, dini yake, njisiya yake na muelekeyo wake waki ngono. Tuna elewa yakuwa ume kuta vitisho katika maisha yako, na ulikuwa muhanga wa mateso, ubakaji ao kuto kuheshimu haki zaki binadamu. Ni werevu ku eleza uliyo yakuta kwa mufanya kazi wa jamii wako au na msimamizi kw wakati wowote. Wafanya kazi wata chunguza maelezo yako na siri kabisa. Ikiwa wewe na  mwenziwe wa njisiya moja na wewe muna taka ku shimikwa pamojamarekani, mina weza kuifanya ili wewe na mwenziwe wa ndowa mume funga ndowa ki sheriya. Kwa ujumla, sheriya ya mahali ambapo ndowa ili sherekewa ita julisha ikwa ndowa yonu ni halali kwaku hama. Wanandowa wa njisiya moja hambao hawaja funga ndowa lakini ambo wana itikwa kwaku fika kwa USRAP wanaweza kuwa na kesi yao ambyo ina tumwa ili wapate ku shimikwa kwa jimbo moja Marekani ikiwa wana itikwa kwa réinstallation.
Picture1
Picture13

Ready to test your knowledge?

Download the Settle In App

Get unlimited access to hundreds of lessons designed for all learners

Test your Knowledge

With short videos and interactive lessons, you can learn about a wide range of pre- and post-arrival resettlement topics like traveling to the U.S., housing, and looking for a job.

SettleIn Logo
Learn on the go
Maudhui kwenye tovuti hii yametengenezwa na Soko la Nyenzo za Mwelekeo wa Utamaduni (CORE), yako katika kikoa cha umma, na huenda ikatolewa tena. Yaliyomo kwenye tovuti hii yalitayarishwa chini ya makubaliano yaliyofadhiliwa na Ofisi ya Idadi ya Watu, Wakimbizi na Uhamiaji, Idara ya Jimbo la Marekani, lakini si lazima kuwakilisha sera ya wakala huyo na haipaswi kuidhinishwa na Serikali ya Shirikisho.