Kuhusu Settle In
Karibu kwa Settle In. Settle In ndiyo mahali yako kwa ku pata maelezo halisi ya ku aminika na kamili kuhusu uhamiaji inchini Marekani.
Muhtasari
Jukwaa za kiteknolojia za Settle In zina weza patikana kwenye lugha mbalimbali na kupana mavideo, mapodcast, na rasilimali zingine kuhusu mada mbalimbali kuhusu maisha inchini Marekani.
Tovuti ya Settle In
Tovuti ya Settle In iko na mamia ya rasilimali ikiwamo mavideo, mapodcast, na maandishi ya matukio. Kuna somo kama urekebisho kitamaduni, mada kuhusu kazi, nyumba, sheriya ya Marekani, na kazalika. Ina patikana kwa lugha hizi: Kiarabu, Kiburma, Kidari, Kiingereza, Kifarsi, Kinyarwanda, Kipashto, Kirusi, Kisomali, Kihispania, Kiswahili, na Kiukreni.
Appli ya Settle In
Appli ya Settle In iko na na somo na mavideo fupifupi, masomo za ku cheza na kujibu, na ma beji kwa ku lipa na fuatiliya maendeleyo ya mafunzo. Shusha kwenye chombo chako toka Apple Store ao Google Play. Ina patikana kwa lugha hizi: Kiarabu, Kiburma, Kidari, Kiingereza, Kinyarwanda, Kipashto, Kirusi, Kihispania, na Kiswahili.