Kipindi cha 3: Uchunguzi wa kimatibabu
Kipindi cha 3: Uchunguzi wa kimatibabu
Uchunguzi wa kimatibabu vina lenga ku hakikisha yakuwa una jibu kwa shurti za afya kwaku ingiya Marekani, una weza safiri, kupata musaada wa matunzo unao stahili ku fwatana na haja na hauoneshe hatari kwa wengine wasafiri.
Kipimo ya Matunzo inakuwa na haya :
- Machunzo ya shurti muhimu ya afya ya huma
- Ugunduzi wa shurti za afya zinazo omba maelekezo zaidi
- Kwa kipindi ya kabla kuondoka, wa safari, na kisha ku fika na ku shimikwa
- Uchunguzi wa uwezo waku safiri, matunzo na usindikizaji ya matibabu, ikiwa ni muhimu
* Watu katika hali mbaya ya afya watapewa usindikizaji wa matibabu kwaku saidiya katika safari yao ya kwenda Marekani.
Swali Zinazo Ulizwa Mara Nyingi
Kwa kipimo chako na kulingana na mwiaka yako unaweza kujingojeya kwa :
- Kupiga kwa moyo, urefi, unene, na macho yako vimepimwa
- Damu iliyo pimwa
- Nakufanya picha ya mwilu
- Vipimo vya mwili ambayo vina fanika
- Immunizations zilizo tolewa
Kicha Uchunguzi wa kimatibabu kunaweza pita juma nyingi kabla mayokeyo kumalizika na kugawanwa na Centre de Support pour la Réinstallation. Kufatana na iyi mwendo, unaweza pengina kupata vipimo vingine. Ikiwa ni ivyo, una weza kuitwa na dactari ao na wafanyakazi wa RSC kwa kupanga mupango ya uchunguzi. Kartasi vya vipimo ya matunzo inakuwa na muhula ya miezi 3 hadi 6 kisha vipimo vya muili na, kufatana na mwendo ya réinstallation na uchunguzi, unatakiwa pengine kupata uchungi ya afya kwa mara engine.