Zaidi kuhusu Afya

Inchini Amerika, afya ya akili maana yake kutunza maono yako na hali njema kwa jumla Ndani ya hayo pia kuna...

Mkazo ni msisimuko wa kawaida sababu ya mabadiliko mbalimbali katika maisha. Unaweza kusikia mkazo ku mwili ao ku mawazo. Batu...

Afya ya mawazo ni uwezo wa kuelewa mawazo yako na kuzoea magumu, mikazo, ao mabadiliko katika maisha yako. Afya ya...

Hapa Amerika, usafi ni kitu kikubwa saana mu maisha ya kila siku. Usishangae kuona kama kanuni za usafi Amerika ziko...

Machanjo inatunzaka afya na kulinda maisha. Mu inchi ya Amerika iko wakati mutu analazimishwa kuonyesha kama alipigwa chanjo. Kwa mfano...
Hatua ya kuhamia nchi mpya inaweza kuwa changamoto wakati wa janga la kiafya ulimwenguni. Unaweza kuwa na maswali na wasiwasi...

COVID-19 ni maradhi ya kupumua yanayosababishwa na virusi ambavyo vinaenea kwa haraka kote ulimwenguni. Virusi huenea wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa...
Hali ya matibabu Marekani si rahisi kuyielewa na inaweza kuwa vigumu ikiwa ni mara ya kwanza. Kumbuka yakwamba wafanyakazi wa...