Kazi ya Pamoja

Tengenezeshwa:10/29/2024
Kazi za pamoja ni kazi, musaada, vitu, na vpato vinavyo patikana kwa watu katika sherika zao. Kazi izi zinaweza tolewa bure ao kwamalipo ndongo na serkali, shirika za pamoja na shirika za dini zina saidiya serkali. Pata maelezo zaidi kuhusu Huduma za Jamii nchini Marekani hapa chini.
Image
Firefighters in full gear are working at the scene of a fire. Several firefighters are facing a fire truck, with one standing on top, directing a hose at the burning building. Smoke is billowing in the background, and additional emergency vehicles are present.

Msaada waki serkali

Shirika ya kiserkali ya kazi za ujamii zinatowa msaada kwa watu wa shirika. Inasaidiya watu wanao kuwa na haja binafsi, kama vile jamaa inayo kuwa na mushahara mudogo, wanao kosa makao, na watu wanao ishi na ulemavu. Mpango was serkali unakuwa ma muda ambao umewekewa mpaka na muelekezo kea wauzuriyaji.

Hizi ni moja wapo ya mipango ya serkali kwaku saidiya wakimbizi:

Mpango ya msaada waki pesa

Kwa watu walio na shida za kupata kazi, mipango miwili yana towa msaada waki pesa kwa muda mfupi: Msaada kwa muda kwa itaji za jamaa (TANF) kwa wazazi wanao Kuwa na watoto na msaada waki pesa kwa wakimbizi (RCA) kwa wale hawajaolewa na wakimbizi ambao wameolewa na hawana watoto.

Mpango wa msaada wa ziada kwa malisho (SNAP)

Mpango huu wa jimbo una towa msaada kwa watu wenye mshahara mdogo Marekani ili wanunue chakula. Mtu aliye katika mpango huu hupewa kadi  inayo mu ruhusu kununua kiwango fulani cha chakula kila mwezi. Wakimbizi wanaweza kuomba msaada wa chakula katika ofisi za serikali za jimbo. Kiwango cha msaada ni tofauti katika kila muji na kufwatana na ukubwa na mapato ya jamaa

Usalama wa Ziada (SSI)

Hii ni mpango wa jimbo ya  msaada waki pesa kwa watu ambao ni walemavu na wa  zaidi ya miaka 65 na wanao kuwa na pato ndogo.

Mpango wa msaada kwa watoto

Shirika zimoja hutowa kwa bure ao kwa malipo kidogo kazi zaku chunga watoto kwa watu wenye pato ndogo ili wapate ku tumika ao ku tafuta kazi.

Kazi za Umma

Kila shirika ina kazi za uma zinazo patikana na kila mtu katika shirika. Zifuatazo ni chache ya zile kazi za umma za kawaida.

Image
Two women are walking on a sidewalk in a parking lot, pushing a red shopping cart. One woman is wearing a black hoodie, and the other is wearing a white blouse. They appear to be having a conversation as they walk.
Image
A classroom with young children sitting on the floor, facing a teacher. Some children have their hands raised, and the teacher is interacting with them. The classroom has a whiteboard, colorful decorations, and various educational materials.

Msaada waki serkali

Zifuatazo ni chache ya zile kazi za umma za kawaida:

Pango na mapumziko

Pango za jimbo zinakuwa na uwanja wa matembezi na viwanja vya michezo kwa umma. Pango nyingi huwa na kanuni kuhusu nini wageni wana pasha na hawapashwe ku fanya. Pango nyingi za jimbo ni bure, lakini pango zataifa zina weza lipisha pesa ya kuhorozeshwa.

Msaada usio kuwa waki serikali

Shirika fulani za huduma zinaji shugulisha na mikopo kutoka kwa raia binafsi au na  jumla ya mikopo na pesa za serikali. Wanakuwa na kundi ya waongozi wanaosimamiya kazi yao na wanatakiwa ku towa ripoti ya umma kwa kila mwaka  kuhusu kazi zao, lakini zina tenganishwa na serkali.

Aina hizi zote za shirika kwa ujumla zina kuwa chini ya moja ya ayo makundi matatu ya fwatayo:

Mashirika isiyo ya Kiserikali (NGOs)

Mashirika isiyo ya Kiserikali zina towa kazi kwa eneo zote nchini, kwa kawaida iliyoandaliwa na ofisi ya makao makuu katika muji mkubwa. Zimoja zina weza kutowa hizo msaada kwa wakimbizi. Kiasi, gharama na aina za kazi hizi pishana kutoka mahali kwa mahali, lakini wengi wanatowa zifuatazo:

  • Ushauri
  • Msaada wa hali yaku hama
  • Madarasa ya Kiingereza
  • Huduma za ajira 
  • Kazi za utafsiri

Shirika za jamii (CBOs)

Hizo shirika zina tumika katika shirika za mahali na ina towa msaada wa mapumziko, jamii, na kazi za elimu kwa wana memba wa shirika. Aina moja ya Shirika za jamii ambayo una weza kutana katika shirika lako ni shirika la msingi wa kabila (ECBO). ECBOs zime undwa na wakimbizi wa zamani na wahamaji na zina saidiya wageni katika shirika zao. Zimoja zina towa darasa za elimu kwa watu wazima, zina andaa kundi za wa mama, na kushikilia kazi  zaki mila na za mapumziko.

Shirika za imani (FBOs)

Shirika za imani zina jumlisha makanisa, miskiti, masinagogi na mahali zingine za maabudu ambazo lengo yayo niku kuza imani yao. Hata hivyo, kuna piya aina nyingi za sirika za imani, ambazo zina weza pokeya pesa au ku zinaweza ku tiwa kwa mawasiliyana na shirika nyingi za ki dini, ila lengo lao niku towa huduma kwa watu binafsi na jamaa zinazohitaji msaada bila kufwatana na dini yao. Wamoja wanakuwa na darasa za luga ya kingereza kwa watu wazima na wengine wana pana nguo za samani ambazo zimesha tumikishwa.

Image
Screenshot of Settle In app
Image
App Icon

Jaza programu ya Settle In

Tazama video fupi, masomo ya kutendana, na beji ya kufuata maendeleo yako ya kujifunza Settle In ndiyo mwenzako msaidizi katika safari yako ya kutafuta makao mupya

Je, makala hii ilikusaidia?
8
0