Kipindi cha 4: Mwelekeo wa Utamaduni
Kipindi cha 4: Mwelekeo wa Utamaduni
Mwelekeo wa utamaduni utakuanda kwa réinstallation kwakukupatiya maelezo kuhusu mila na ma sheriya za Marekani. Orientation Culturelle itakusaidiya ku boresha mangojeo saii na nakupokeya uwezo na hali muhimu kwaku fahulu na mazingira yenu mapya. USRAP ime tiya mupango wa Mafunzo ya Orientation Culturelle inao tokona na myaka za zowezi. Mafunzo ya Orientation Culturelle inatolewa na mufanya kazi anaesema lugha mingi na anae juwa kabila nyingi atakaye wasaidiya kukunduwa tatizo za réinstallation kabla azija tokeya na kujibu kwa maswali zinazo ulizwa mara nyingi kuhusu réinstallation Marekani.
Swali Zinazo Ulizwa Mara Nyingi
Mafunzo ya Orientation Culturelle mikutano ya majifunzo yana kuwa na lengo yaku kusaidiya ku zoweya kwa maisha yako mapya Marekani. Somo ni hizi :
- Kazi ya Agence de Réinstallation
- Kazi
- Makao
- Elimu
- Afya
- Kazi zaki Jamii
- Haki na Wajibu
- Kujifunza Kiingereza
- matumizi wa pesa
- uchukuzi
- Adaptation kwa Réinstallation
Uliupate ku faidiya ifahavyo, darasa za Orientation Culturelle zime undwa kwajili ya kuhuzuriya na ku jadiliyana. Tuna wa unga kabisa mkono wana memba wanao kubaliwa kuhuzuriya.
Pengine haiwezekani ku huzuriya kwa darasa za Orientation Culturelle. Katika hali hiyo, utapokeya vikartasi vilivyo andikwa kwakuku saidiya kuji andaa kwa maisha Marekani. Tunakuhunga mkono ku chunguza vikartasi hivyo vyote kabla yakuenda kwako. Utapokeyo Orientation culturelle ya zaidi Marekani.