Pata maelezo kuhusu maisha nchini Marekani.

Utapokea maelezo kuhusu Mwelekeo wa Utamaduni kabla ya kusafiri kwenda Marekani na baada ya kuwasili. Hatua ya kupata maelezo kuhusu Mwelekeo wa Utamaduni hukusaidia kupata ufahamu, ujuzi na mitazamo unayohitaji kuiga ili kuishi nchini Marekani. Nyenzo zilizo hapa chini zinatoa maelezo muhimu kuhusu Mwelekeo wa Utamaduni na maisha nchini Marekani. Jifunze Zaidi hapo chini.

Pata maelezo kuhusu maisha nchini Marekani.

Mwelekeo wa Kitamaduni hutolewa mara mbili: na wafanyakazi wa RSC kabla ya kuondoka kwenda Marekani, na Shirika la Makazi mapya baada ya kufika Marekani.

Rasilimali na taarifa hapo chini vinatoa taarifa za Mwelekezo wa Kiutamaduni na Maisha Marekani.

Unatafuta maelezo kuhusu maisha nchini Marekani?

Pata maelezo zaidi kuhusu Mpango wa Uandikishaji wa Wakimbizi Nchini Marekani, usafiri na hatua za kuchukua kabla ya kuwasili Marekani.