Kupinga Udanganyifu na Nafasi ya Usalama

Tengenezeshwa:9/19/2024
USRAP ina tumika katika mazingira kubwa na kamili. Wafanya kazi wote wako hapa kwakuku saidiya ku amini kwa haki sawa kwa wote. Ikiwa una teswa kwajili ya imani yako, dini yako, jinsiya yako na muelekeyo waki ngono, una weza kuijulisha kwa wafanya kazi wa USRAP. Usiogope kuizungumuza na msaidizi waki jamii au kuomba msimamizi (mwanamuke na mwanaume) kwa wakati wote. Yote unayo izungumuea na mfanyakazi yana cungwa kama siri.

Kazi zote zaréinstallation ni bure. Kwa kila wakati wa mwendo, wa akilishi wa RSC, wa OIM, wa Agence de Réinstallation, wa kliniki za matibabu, wama ONG, wa HCR au wa serkali ya marekani hama wezi kuomba malipo kwajili ya kazi yeyote ya réinstallation. Mtu akikuomba pesa, akiku ambiya anakuwa na uwezo waku endesha araka kesi yako, kuomba msaafa wowote au kuku tisha kwa namna yoyote, tafazali uijulishe RSC. Maelezo kuhusu kuripoti mwenendo mubaya itakutolewa kwa majadiliyano yako yakwanza.

Image
Two people are shown exchanging money, with one hand holding a wallet and the other hand handing over cash. A red 'X' is drawn over the image, indicating that this action is prohibited or discouraged.
Image
A person is working on a computer, another person is talking on the phone, and a hand is shown dropping a piece of paper into a blue box with an exclamation mark on it. The image appears to illustrate different modes of communication and action.
Was this article helpful?
0
0