Mwelekeo wa Utamaduni

Kwa wakati fulani kabla yakuondoka kwako kwenda Marekani, Centre de Support pour la Réinstallation itaku alika piya kuhuzuriya kwa Orientation Culturelle ambako mutapewa maelezo muhimu kuhusu safari yako Marekani na nakwayale unatakiwa kujingojeya utakapo fika. Jifunze zaidi kuhusu Mwelekeo wa Utamaduni hapa chini.

Cultural Orientation

Chagua muundo wa jinsi ambavyo ungependa kupata kwenye ukurasa huu. Unaweza kutazama video, kupakua hati ya maelezo au kusikiliza podikasti. Kila chaguo linatoa maelezo sawa.  

Kipindi cha 4: Mwelekeo wa Utamaduni

Mwelekeo wa utamaduni utakuanda kwa réinstallation kwakukupatiya maelezo kuhusu mila na ma sheriya za Marekani. Orientation Culturelle itakusaidiya ku boresha mangojeo saii na nakupokeya uwezo na hali muhimu kwaku fahulu na mazingira yenu mapya.  USRAP ime tiya mupango wa Mafunzo ya Orientation Culturelle inao tokona na myaka za zowezi.  Mafunzo ya Orientation Culturelle inatolewa na mufanya kazi anaesema lugha mingi na anae juwa kabila nyingi atakaye wasaidiya kukunduwa tatizo za réinstallation kabla azija tokeya na kujibu kwa maswali zinazo ulizwa mara nyingi kuhusu réinstallation Marekani.

Cultural Orientation
Cultural Orientation

Swali Zinazo Ulizwa Mara Nyingi

Mafunzo ya Orientation Culturelle mikutano ya majifunzo yana kuwa na lengo yaku kusaidiya ku zoweya kwa maisha yako mapya Marekani. Somo ni hizi :

 • Kazi ya Agence de Réinstallation
 • Kazi 
 • Makao
 • Elimu
 • Afya
 • Kazi zaki Jamii 
 • Haki na Wajibu
 • Kujifunza Kiingereza
 • matumizi wa pesa
 • uchukuzi
 • Adaptation kwa Réinstallation

Uliupate ku faidiya ifahavyo, darasa za Orientation Culturelle zime undwa kwajili ya kuhuzuriya na ku jadiliyana. Tuna wa unga kabisa mkono wana memba wanao kubaliwa kuhuzuriya.

Pengine haiwezekani ku huzuriya kwa darasa za Orientation Culturelle. Katika hali hiyo, utapokeya vikartasi vilivyo andikwa kwakuku saidiya kuji andaa kwa maisha Marekani. Tunakuhunga mkono ku chunguza vikartasi hivyo vyote kabla yakuenda kwako. Utapokeyo Orientation culturelle ya zaidi Marekani.

Ready to test your knowledge?

Education Settle in app

Download the Settle In App

Pata ufikiaji usio na kikomo kwa mamia ya masomo yaliyoundwa kwa wanafunzi wote

Apple Store icon
Get it on Google Play store
Settle In App

Test your Knowledge

With short videos and interactive lessons, you can learn about a wide range of pre- and post-arrival resettlement topics like traveling to the U.S., housing, and looking for a job.