Uchunguzi wa kimatibabu
Ikiwa kesi yako ina endeleya, wewe na kila mwana memba wa jamaa kwa kesi yako, muta pangwa kwa kipimo cha matunzo ambayo ina lazimishwa. Uje na vikartasi vyote vya matunzo naza nduwi zinazo patikana kwa mupango wakuonana. Iyi itakuwa muhimu sana kwaku chukuwa muelekeo unao faa kwa mambo ya matunzo na afya katika mwendo wa réinstallation na kisha kufika kwako Marekani. Uhalali wa Uchunguzi wa kimatibabu ni kati ya myezi 3 hadi 6. Una weza kupata kipimi kingine ikiwa hauende Marekani kabla tarehe yakuisha kwa Uchunguzi wa kimatibabu. Jifunze zaidi kuhusu mchakato wa Uchunguzi wa Matibabu hapa chini.
Chagua muundo wa jinsi ambavyo ungependa kupata kwenye ukurasa huu. Unaweza kutazama video, kupakua hati ya maelezo au kusikiliza podikasti. Kila chaguo linatoa maelezo sawa.
Kipindi cha 3: Uchunguzi wa kimatibabu
Uchunguzi wa kimatibabu vina lenga ku hakikisha yakuwa una jibu kwa shurti za afya kwaku ingiya Marekani, una weza safiri, kupata musaada wa matunzo unao stahili ku fwatana na haja na hauoneshe hatari kwa wengine wasafiri.
Kipimo ya Matunzo inakuwa na haya :
- Machunzo ya shurti muhimu ya afya ya huma
- Ugunduzi wa shurti za afya zinazo omba maelekezo zaidi
- Kwa kipindi ya kabla kuondoka, wa safari, na kisha ku fika na ku shimikwa
- Uchunguzi wa uwezo waku safiri, matunzo na usindikizaji ya matibabu, ikiwa ni muhimu
* Watu katika hali mbaya ya afya watapewa usindikizaji wa matibabu kwaku saidiya katika safari yao ya kwenda Marekani.
Swali Zinazo Ulizwa Mara Nyingi
Kwa kipimo chako na kulingana na mwiaka yako unaweza kujingojeya kwa :
- Kupiga kwa moyo, urefi, unene, na macho yako vimepimwa
- Damu iliyo pimwa
- Nakufanya picha ya mwilu
- Vipimo vya mwili ambayo vina fanika
- Immunizations zilizo tolewa
Kicha Uchunguzi wa kimatibabu kunaweza pita juma nyingi kabla mayokeyo kumalizika na kugawanwa na Centre de Support pour la Réinstallation. Kufatana na iyi mwendo, unaweza pengina kupata vipimo vingine. Ikiwa ni ivyo, una weza kuitwa na dactari ao na wafanyakazi wa RSC kwa kupanga mupango ya uchunguzi. Kartasi vya vipimo ya matunzo inakuwa na muhula ya miezi 3 hadi 6 kisha vipimo vya muili na, kufatana na mwendo ya réinstallation na uchunguzi, unatakiwa pengine kupata uchungi ya afya kwa mara engine.
Ready to test your knowledge?
Download the Settle In App
Get unlimited access to hundreds of lessons designed for all learners
Test your Knowledge
With short videos and interactive lessons, you can learn about a wide range of pre- and post-arrival resettlement topics like traveling to the U.S., housing, and looking for a job.