Language:

Usimamizi wa fedha

Gharama ya maisha Marekani ina pishana sana kwa nafasi moja kwa ingine, ila mahali nyingi ina weza kuwa juu. Ndiyo maana kupata kazi haraka iwezekanavyo ni muhimu sana kwa watu wazima wanaoweza kufanya kazi. Utahitaji kuwa makini sana na pesa zako, ili usitumie zaidi ya unachopata. Pata maelezo zaidi kuhusu Usimamizi wa Pesa nchini Marekani hapa chini.
CORE_Money Management_v4
Chagua muundo wa jinsi ambavyo ungependa kupata kwenye ukurasa huu. Unaweza kutazama video, kupakua hati ya maelezo au kusikiliza podikasti. Kila chaguo linatoa maelezo sawa.
Most Americans keep their money in a bank because it is then insured by the U.S. Government. This means that if the money is lost or stolen from the bank, the U.S. Government will replace it. You will need to learn about electronic banking, credit, debt, budgeting, and paying taxes.

Matumizi ya pesa ki binafsi

Una jukumu la kutumiya pesa yako ya kibinafsi. Njia moja ya kuepuka kutumia pesa nyingi zaidi ni kutengeneza bajeti. Kujifunza jinsi ya kupanga bajeti ni ujuzi muhimu. Kwa kupanga bajeti, ni muhimu kwako kujuwa mapato na matumizi yako ya kila mwezi, kama vile kodi, huduma na mboga. Kwa lengo ya bajeti, itakuwa muhimu kutambua nini jamaa yako inataka zaidi ya kile jamaa yako inahitaji. Vitu fulani vinavyo takiwa vinaweza kuwa vya bei kali na zisizohitajika, na unaweza kuzitoa mbali na mahitaji ya jamaa yako. Wafanyakazi katika Agence ya Réinstallation watakusaidia kupanga bajeti.
CORE_Money Management_v7
The Timsina family, a Bhutanese family recently arrived from Nepal, in New York City:  A volunteer accompanies Chet Nath to the bank where he is about cash a check that the IRC has given him to use as pocket money, money that will provide for the familyís extra needs for one month.

Kutoa na Kuweka Pesa

Unatakiwa kuelewa namna gani kuweka pesa kwenyi benki na namna ya kuiondoa kwa kutumia Automatic Teller Machine (ATM) au kwa kuandika kartasi ya benki. Kwenye benki, unaweza kuweka pesa yako katika akaunti ya kuangalia na akaunti ya akiba au zote mbili. Akaunti za kuangalia ni nzuri unapohitaji kuweka au kuondoa pesa mara kwa mara ukitumia kartasi ya benki na Automatic Teller Machine (ATM). Akaunti za akiba zina tumika kuchunga pesa ambayo hauhitaji kwa muda. Kwa mara ya kwanza, utahitaji tu akaunti ya kuangalia. Baadaye, wakati unaweza kuchunga pesa, unaweza taka kuwa na zote mbili, akaunti ya kuangalia na ya kuweka akiba. Unapotumia mpango wa mikopo au kadi ya mkopo, unadai pesa na utalipisha riba kwa kiasi ulichopashwa. Ili kuwa na historia nzuri ya mkopo, lipa mkopo wako kwa wakati kila mwezi. Kufanya malipo ya kila mwezi kwenye mkopo wako wa kusafiri ni nafasi yako ya kwanza ya kujenga historia nzuri ya mkopo. Kulipa ya moja kwa moja Washimamizi wengi wana towa au wana hitaji kulipa ya moja kwa moja katika akaunti za benki za wafanyakazi. Katika kuweka  moja kwa moja, malipo yako ina tumwa moja kwa moja katika akaunti yako ya benki kisha kupewa kama hundikartasi ya benki. Kuna faida nyingi ya malipo ya moja kwa moja. kartasi yako ya benki haiwezi potezwa na hakuna yeyote anayeweza kuiba au kujaribu kulipia kwaku pima saini yako. piya, utapokea malipo yako hata kama hauko kazini siku ya malipo na hauhitajiki kusafiri hadi kwenyi benki kwaku tuma kartasi yako ya benki. Kwa mwisho, ukiwa na malipo ya moja kwa moja, pesa yako iko katika akaunti yako na unaweza ipata moja kwa moja. Unapotuma kartasi ya benki wewe mwenyewe, inaweza kuchukua siku moja au mbili kabla pesa itumwe kwenye akaunti yako.

Mfumo wa benki

Mahali salama zaidi pa kuweka pesa Marekani ni benki ambazo zinaongozwa na jimbo na zina kuwa na bima. Kuna aina tofauti za benki. Agence ya Réinstallation itakusaidia kupata benki ambayo inakufaa zaidi. Ikiwa una imani yaki mila au ya kidini kuhusu pesa (kwa mfano ikiwa una amini ni makosa kulipa au kukusanya faida) unaweza kupata benki katika eneo lako ambayo ina fanya imani yako.
CORE_Money Management_v3

 

Ready to test your knowledge?

Pakua programu ya Settle In

Get unlimited access to hundreds of lessons designed for all learners

Pakua programu ya Settle In

With short videos and interactive lessons, you can learn about a wide range of pre- and post-arrival resettlement topics like traveling to the U.S., housing, and looking for a job.
SettleIn Logo
Learn on the go
Maudhui kwenye tovuti hii yametengenezwa na Soko la Nyenzo za Mwelekeo wa Utamaduni (CORE), yako katika kikoa cha umma, na huenda ikatolewa tena. Yaliyomo kwenye tovuti hii yalitayarishwa chini ya makubaliano yaliyofadhiliwa na Ofisi ya Idadi ya Watu, Wakimbizi na Uhamiaji, Idara ya Jimbo la Marekani, lakini si lazima kuwakilisha sera ya wakala huyo na haipaswi kuidhinishwa na Serikali ya Shirikisho.