Uchukuzi

Kuna aina tofauti za uchukuzi unazoweza kupata wakati una fika kwa shirika lako nyipya. shirika nyingi zinakuwa na mbinu moja au nyingi za uchukuzi wa umma. Utahitajika kujua namna yaku tumia uchukuzi wa umma salama. Agence ya Réinstallation  itakupatia maelezo kuhusu uchukuzi wa umma katika shirika lako mpya kisha kufika kwako. Pata maelezo zaidi kuhusu Usafiri nchini Marekani hapa chini.

Chagua muundo wa jinsi ambavyo ungependa kupata kwenye ukurasa huu. Unaweza kutazama video, kupakua hati ya maelezo au kusikiliza podikasti. Kila chaguo linatoa maelezo sawa.

Kuna sheria Marekani zinazo ongoza mwendo, kuendesha kinga na kuendesha gari. Wakati unafika mara ya kwanza Marekani, pengine uta tembeya muda mwingi kabla yaku fika nafasi unataka kwenda. Karibuni, utaanza chukuwa uchukuzi wa umma. Uchukuzi wa umma ina pishana na mahali kwa mahali. Kwa nafasi fulani,uinaweza ku chukuliwa karibuni kila mahali una taka kwenda. Mahali pengine, uchukuzi wa umma unaweza kufanya kazi wakati fulani au hauwezi kuwa.

Kumiliki au kufika kwa gari binafsi inakuja na faida na majukumu. Kumiliki na kuendesha gari Marekani inaweza kuwa ya bei kali. Katika miezi yako ya kwanza Marekani, unaeza hitajika kutumia usafiri wa umma ili kuzunguka shirika yako mpya. Baada ya kuwa na kazi na unaweza panga gharama za gari, unaweza kuamua kununua gari, lakini kuna sheria zinazohusu bima ya gari, ruhusa yaku  endesha na usalama unaohitaji kuelewa na kutii ikiwa utanunua gari.

Transportation in the United States
Transportation in the United States

Uchukuzi wa umma unaruhusu watu mjini kusafiri katika mji bila gari. Utahitaji kujua namna ya kufungia kibao salama, safiri, na kuondoa aina za uchukuzi utakayo itumia. Marekani, kuna aina tatu muhimu za uchukuzi wa umma: mabasi, treni za haraka. Wana endesha kwaku fata mstari na kushimamisha mahali fulani ili kuruhusu maendesha punda wapite mbali na kuendelea. Mara nyingi, unahitaji kununua tiketi ya kutumia uchukuzi wa umma. Teksi na kazi zengine za gari za kibinafsi zinaweza kupatikana pia, lakini mara nyingi ni za gharama kubwa.

Transportation in the United States

Kuwa na ufahamu wa alama za mwendo na alama ili uwena usalama wakati wa kutembea katika shirika lako. Tumia barabara za kando na barabara za msalaba kwenye barabara za pembeni au pembe.

Miji nyingi zinatoa njia pekee ya kinga na pia zina kuwa na kanuni za mwendo na usalama hasa kwa wanaoendesha kinga.  Kuendesha kinga ni raisi na haina garama kubwa kwaku fika karibu, lakini ni muhimu kujua na kufuata sheria za mwendo ili kuendesha kinga salama.

Transportation in the United States
Transportation in the United States

Tayari ku pima ujuzi wako?

Ji funze unavyo endeleya

Appli ya Settle In ni rafiki wa njia mwenye ata ku saidiya sana ndani ya safari yako ya kuhamiya inchini Marekani. Ji funze kuhusu maisha inchini Marekani na ujenge juhudi zako kupitiya mitiyani na somo za kufurahisha.

Namna zengine za ku ji funza

Pamoja na somo na mavideo za ku cheza na kujibu, kuna kuwaka kila wakati kitu kipya kya ku gundua. Settle In ina fanya mafunzo kuhusu kuhamiya Marekani ikuwe ya kufurahisha mno. Ji funze kwa umbiyo wako pekee – tuko hapa kwa ku ku ongoza.