Mwanzo

Orientation Culturelle kabla mwendo na kisha kufika inazo tolewa kwa Centre de Support pour la Réinstallation  na Agence ya Réinstallation kwa kukusaidiya upate ujuzi, na akili na hali unao itwa kupata juu uishw maisha yako Marekani na udjiikalishe vizuri katika jamii mpya.

Health

You may download this page as a PDF, watch, or listen to this information in a podcast. Downloadable PDFs, podcasts, and videos provide the same information as the webpage in different formats.

Utapokeya Orientation Culturelle mara pili:

Orientation Culturelle ya mwanzo inatolewa kwa mufanyakazi aliye funzwa vizuri wa RSC kabla ya kuenda Marekani. Orientation Culturelle iyo  itakuanda kwa réinstallation kwakukupatiya maelezo kuhusu mila na ma sheriya za Marekani. Itakusaidiya ku boresha mangojeo saii na kujua nini utakapo fika. Na tena itaku tayarisha kwa juu ya safari.

Marekani, wafanyakazi, na wanao jitolea kwa  hiari katika ma Agence ya Réinstallation watakukaribisha kwa kukupatia Orientation Culturelle kuhusu jamii  za wa jerani wanazo kuzunguka. Kwa sababu hiyo, Baadhi ya ofisi za uhamisho zinataja Orientation culturelle kama “Muelekeyo yaki jamii”. Orientation Culturelle huu wa kitamaduni utakapatia habari halisi kuhusu matembezi yako, kutafuta kazi, kupata huduma za dharura kama vile matibabu na elimu.

Kabla ya kuhondoka na kisha kufika Orientation Culturelle ni ya muhimu na ita ku saidiya kukaa na jamii katika mazingira mapya. Orientation Culturelle inatolewa na kazi za utafsiri na imepatiwa kwa wakimbizi wapya katika darasa ao, ikiwa ni ya muhimu, kwa mutu moja na moja kwa fasi zengine.

Orientation Culturelle ime undwa kwakuku saidiya kuji tosheleza mwenywe haraka zaidi.

Majifunzo hii yana zungumuziwa wakati wa Orientation Culturelle:

 • Agence ya Réinstallation
 • kazi 
 • makao
 • Elimu
 • Afya
 • kazi zaki jamii
 • Haki na Wajibu
 • Kujifunza Kiingereza
 • matumizi ya pesa
 • uchukuzi
 • Adaptation kwa Réinstallation
refugees waiting in lobby

Watch Some Refugee Stories

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Health

Ready to test your knowledge?

Education Settle in app

Download the Settle In App

Get unlimited access to hundreds of lessons designed for all learners

Apple Store icon
Get it on Google Play store
Settle In App

Download the Settle In App

With short videos and interactive lessons, you can learn about a wide range of pre- and post-arrival resettlement topics like traveling to the U.S., housing, and looking for a job.